Nandy Na Diamond Kutumbuiza Kwenye Tamasha Kubwa La Muziki Nchini Marekani

Image Source: Online 

Writer: Charles Maganga 
Answer 5 questions and stand a chance to win $500 dollars
Share this article on WhatsApp and stand a chance to win an Iphone 15.

Wasanii wawili wakubwa kutoka Tanzania, Diamond Platnumz pamoja na Nandy watarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha kubwa la muziki huko nchini Marekani.

Nandy ambaye kwa sasa anatamba na ngoma yake ya Daah na Diamond ambaye anakimbiza na Mapoz anatarajiwa kutumbuiza kwenye tamasha la Colors Of The East ambalo linatarajiwa kufanyika Mei 23 mpaka Mei 24 mwaka huu.

Nandy na Diamond wanakuwa ni wasanii pekee kutoka Tanzania kushiriki kwenye tamasha hilo ambalo pia linahusisha wasanii kutoka nchi nyingine za Afrika Mashariki kama Kenya, Uganda, Ethiopia na Rwanda.

Wasanii wengine wanaotarajiwa kushiriki kwenye tamasha hilo ni pamoja na Nyashinski, Otile Brown na Vegas kutoka Kenya, Joshua Baraka kutoka Uganda, The Ben kutokea Rwanda na Innos B kutokea Congo.

Top songs of 2024
Free Download- Jungle by Shallipopi

Free Download - Congratulations by Ada Ehi

Free Download - Enjoy by Jux ft Diamond Platnumz 

Free Download  Do I -Phyno

Free Download  Obinasom- Mercy Chinwo Free

Free Download Only Fine Girl Remix -Spyro ft Simi Free

Free Download - Ask About Me - Mohbad

Free Download  Rush - Ayra Starr

Free Download - Hararat- Christine Shushuo


Leave your comment