Ngoma Mpya Tanzania Wiki Hii

Image Source: Online 

Writer: Charles Maganga 

Answer 5 questions and stand a chance to win $500 dollars
Share this article on WhatsApp and stand a chance to win an Iphone 15.

Kama unapenda muziki kutoka Tanzania basi bila shaka utapenda kufahamu ni ngoma gani mpya kutoka Tanzania ambazo imeingia sokoni kwa wiki hii

Kutoka kwa wasanii kama Nandy, Walter Chilambo na wengineo hizi hapa ni ngoma mpya Tanzania.

 

Mama - Walter Chilambo

Kwenye ngoma hii ambayo ni ya pili kwa Walter Chilambo ndani ya mwaka huu, utapenda namna ambavyo Walter Chilambo ametunga mashahiri mazuri ambayo yamepambwa na sauti yake iliyojaa utulivu mkubwa.

 

Chupu Chupu - Yuzzo Mwamba

Ufundi wa Yuzzo Mwamba kwenye kuandika stori ndio umepelekea ngoma hii ya Hip Hop kupokelewa vizuri sana na mashabiki wa muziki mzuri Afrika Mashariki.

Mama - Msaga Sumu

Kwenye ngoma hii kali ya Singeli, Msaga Sumu amemwaga sifa kede kede kwa Rais wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

 

Daah Remix - Nandy Ft Hip Hop Artists

Baada ya remix ya kwanza ya Daah kufanya vizuri, Nandy ameamua kuwaweka pamoja Rosa Ree, G Nako, Stamina, Khaligraph Jones, Moni na Stamina kwenye ngoma moja

Top songs of 2024
Free Download- Jungle by Shallipopi

Free Download - Congratulations by Ada Ehi

Free Download - Enjoy by Jux ft Diamond Platnumz 

Free Download  Do I -Phyno

Free Download  Obinasom- Mercy Chinwo Free

Free Download Only Fine Girl Remix -Spyro ft Simi Free

Free Download - Ask About Me - Mohbad

Free Download  Rush - Ayra Starr

Free Download - Hararat- Christine Shushuo 

Leave your comment