Zuchu Na Nandy Waungana Kwenye Ngoma Mpya "Wanawake Moto"

Image Source: Online 

Writer: Charles Maganga 

Answer 5 questions and stand a chance to win $500 dollars
Share this article on WhatsApp and stand a chance to win an Iphone 15.

Nandy na Zuchu, wasanii ambao kwa sasa wameshika hatamu kwenye kiwanda cha Bongo Fleva hivi karibuni wameandika historia mpya baada ya hivi karibuni kushiriki ana pamoja kwenye ngoma mpya ya kuitwa "Wanawake Moto"

"Wanawake Moto" ni ngoma ambayo inalenga kusheherekea na kuwainua wanawake nchini Tanzania pamoja na kumpongeza Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. 

Kwenye ngoma hiyo wasanii tofauti tofauti wa kike wameungana kupamba ngoma hiyo ikiwemo Nandy, Zuchu, Yammi, Appy, Abigail Chams, Queen Darleen, Maua Sama, Christina Shusho, Patricia Hillary. Rosa Ree na wengineo. 

Top songs of 2024
Free Download- Jungle by Shallipopi

Free Download - Congratulations by Ada Ehi

Free Download - Enjoy by Jux ft Diamond Platnumz 

Free Download  Do I -Phyno

Free Download  Obinasom- Mercy Chinwo Free

Free Download Only Fine Girl Remix -Spyro ft Simi Free

Free Download - Ask About Me - Mohbad

Free Download  Rush - Ayra Starr

Free Download - Hararat- Christine Shushuo


 

 

 

 

Leave your comment