Number One Lyrics by Billnass Ft Mbosso

Image Source: Instagram 

Nitaomba mabawa nipae 

Mabawa nipae mpaka mbingu ya sita 

Neema na baraka zitufae 

Baraka zitufae 

Kutoka kwa Malaika 

Honey mi nadhalilika

Yaani ulivyonishika

Honey mi nadhalilika

Yaani ulivyonishika

 

Mamaa Mamaa Mama ake 

Ntakupenda kesho nakupenda today 

Bado nahangaika natafuta niombee 

Mwenzako mi na wivu 

Na sitaki tushare

 

 Mamaa Mamaa Mama ake 

Ntakupenda kesho nakupenda today 

Bado nahangaika natafuta niombee 

Mwenzako mi na wivu 

Na sitaki tushare

Kwenye mamilioni kwangu we namba one 

Oneeee Yooooh 

Watayasema yote na bado hatuachani 

Chani yooooo 

 

Hata wakiniona zoba as long as uko nami 

Wakisema unaniroga waambie unanirogea chumbani 

 

Hata wakiniona zoba as long as uko nami 

Wakisema unaniroga waambie unanirogea chumbani 

 

Ooooh Nanaaaa

Nitaomba mabawa nipae 

Mabawa nipae mpaka mbingu ya sita 

Neema na baraka zitufae 

Baraka zitufae 

Kutoka kwa Malaika 

Honey mi nadhalilika

Yaani ulivyonishika

Honey mi nadhalilika

Yaani ulivyonishika

 

Kwa hizi raha unazonipa mpaka naishiwa maneno 

Nampenda mama nampenda baba na wewe ukiwemo 

Penzi wakishika nakata 

Nakata kama msumeno 

Sali tuzeeke wote mpaka tung'oke meno 

Na akili zaniruka likitajwa lako jina 

Sio siri nawehuka 

Ubaridi mwili mzima 

Kwenye mamilioni kwangu we namba one 

Oneeee Yooooh 

Watayasema yote na bado hatuachani 

Chani yooooo 

 

Hata wakiniona zoba as long as uko nami 

Wakisema unaniroga waambie unanirogea chumbani 

Hata wakiniona zoba as long as uko nami 

Wakisema unaniroga waambie unanirogea chumbani 

 

Ooooh Nanaaaa

Nitaomba mabawa nipae 

Mabawa nipae mpaka mbingu ya sita 

Neema na baraka zitufae 

Baraka zitufae 

Kutoka kwa Malaika 

Honey mi nadhalilika

Yaani ulivyonishika

Honey mi nadhalilika

Yaani ulivyonishika

Leave your comment