Lyrics: Femi One Ft. Domani Mkadinali 'Sitaki'

[Image:Instagram]

Download the Best Kenyan Hits Mixes On Mdundo

Yoh hii click ni ya wanati (skrr skrr)

haunipati, Walahi haki unaeza dhani ni illuminati

Wapi? Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki (sitaki na sitaki)

Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki

Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki nå sitaki (sitaki na sitaki)

Mmmh-hmm

Wapi? Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki

Manabuoni fire, manabuoni fire, manabuoni fire (sitaki na sitaki)

Aaah! Ambia boy fisi simtaki

Hiyo time akupee sio hii raa

My boys wanareverse kwa parking yeh ni calls kureverse kila saa

Femi One their mum, their aunty

 

Niliwashow hawa ma-emcee nimewazaa (nimewazaa)

Nditni niko mraa, niko active

Sina time ya kuniita manga'a

Mi sitaki, sitaki na sitaki

Drama na nuksi hunipati

Sitaki ma moods

Kama si mali kama si ganji niko jumanji

Niko kwa boots

 

Nigga ni tragic, pedi wa nudes, imagine!

Hell of a dude, Telegram chatting, uko mangwati

Bro uko wadhambi ziko kwa boobs

Ka sitaki, sitaki kwani ni lazima

Mbona Una force

Mans alipigwa stopper DM

akajam kama spread on toast

I guess nili-shrink his ego

I left him on read and he had some hopes

Hii click ni savage click ni Rong hii click click

Ni ya wanati (skrr skrr) haunipati

Walahi haki unaeza dhani ni illuminati

 

Wapi? Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki (sitaki na sitaki)

Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki

Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki (sitaki na sitaki)

Mmmh-hmm

 

Wapi? Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki

Manabuoni fire, manabuoni fire, manabuoni fire

Hii click ni ya wa bobo shanty, always skanking, jobless party

Alivuta foreign na ulafi, akacheki mwangaza kama Kamlesh Pattni (waah)

Life Iwalala, view ni bramber, sitaki na sitaki, plan tumelamba, sitaki na

Atimes zilibamba then akaanza feelings vibe ikaishanga, sitaki na sitaki

Stamina energy kama ni mbwakni, sitaki na

WhatsApp groups hunipati

 I don't correlate na umati, sitaki na (never)

Alibonga reckless mneti ata siku_react juu ya pressure

sikuangi na time

 

Chuom ya mambleina sipati walai aki msho akae mbali na

ATM limit ni maximum, mteja wa nambari hapatikan

Wako roaming kama padri wa vatican

Ngoma hazipop tunatambua ni pandisa

Click ya ma pagan, click ya warazi,

Sitaki na sitaki ku-interact na mandwazi

Tuko ma-endeavor, ma-mradi, click ya wapeng hii ni click ya baddie

Hii click ni ya wanati (skrr skrr)

haunipati

 

Walahi haki unaeza dhani ni illuminati

Wapi? Sitaki na sitaki na sitaki na

sitaki na sitaki, Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki

Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki na sitaki,

Mmmh-hmm

Wapi? Sitaki na sitaki na sitaki na sitaki

Manabuoni fire, manabuoni fire, manabuoni fire

https://www.youtube.com/watch?v=-ZspqOAxvPo

 

Leave your comment