Lyrics: Kusah - Wasi wasi

[Image Source: Screengrab/YouTube]

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Kwenye Telegram

Verse 1

Baby doli samwela

Ooh baby penzi kombolela

Baby tusije kumbwela

Ooh baby wakabutua pila

Honey sisi binadamu

hatukakamilika

Ukimicheat mara moja sawa

Ila ficha

Yani dunia ina mengi

Usije lewa sifa

Ukikosea mara moja

tafadhali shuka

Bridge

Haya puliza kama inauma

Na ukiwashwa na kukuna

Nina moyo wa nyama sina chuma

Ukikosea itaniuma

 

Chorus

Nina wasi wasi, ni wasi wasi

Penzi wasi wasi

Nina wasi wasi, ni wasi wasi

Penzi wasi wasi

 

Verse 2

Eti si unanipenda wee

Ulisema hata nyumba si tutajenga wee

Etiii si upo kando wee

Ulisema nikiwa sina nitabaki na wewe

Ningeweza kujigawa

Ningejichana ningejigawa

Nikupe hata kipande

Nikiwa mbali ibaki dawa

Honey sisi binadamu

hatukakamilika

Ukimicheat mara moja sawa

Ila ficha

Yani dunia ina mengi

Usije lewa sifa

Ukikosea mara moja

tafadhali shuka

 

Bridge

Haya puliza kama inauma

Na ukiwashwa na kukuna

Nina moyo wa nyama sina chuma

Ukikosea itaniuma

 

Chorus

Nina wasi wasi, ni wasi wasi

Penzi wasi wasi

Nina wasi wasi, ni wasi wasi

Penzi wasi wasi

https://www.youtube.com/watch?v=KJxmhibO9h4

Leave your comment