Lyrics: Alikiba - Mahaba

[Image Source: Instagram]

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Kwenye Telegram

Sikuhizi hakuna mahaba yeh! Mahaba

Mapenzi ya mkataba mpaka kufa yamekwisha

Ni neema tuna hema mapenzi yanachosha yanafuja raha

Nafsi yangu inasema bora nimpende tu alonizaa

Uchungu wakulia daily

Mapenzi yalinifanya nisile

Sina kumbukumbu hile kwamba ulinikosha noo!

Uchungu wakulia daily

Mapenzi yalinifanya nisile

Sina kumbukumbu hile kwamba ulinitosha noo!

 

Mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza

Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeh!

Mi nilikufa nikazikwa nikaoza

Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh

 

Sikiliza kwanza we mdada we mdada

Mi sio mgeni yalishanikaba mapenzi yalinikausha

Natamani kua single ila nnaupwil unanikaba kooh

Mabinti wenye vifundo hao ndo mi wananitoa roho

Na siri tu ya jambo lile ni kama chakula lazima nile

Mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh

Na siri yake tu jambo lile ni kama chakula lazima nile

Mi mbovu sana wa jambo lile na ufundi wa kutosha ooh!

 

Mwenzako mi nilikufa nikazikwa nikaoza

Mapenzi yalinitesa yalinitupa nimefufuka yeh!

Mi nilikufa nikazikwa nikaoza

Mapenzi yalinitesa nimefufuka yeeh

https://www.youtube.com/watch?v=zNMMFstZiAw

Leave your comment