Lyrics : Yammi Tz -Namchukia

[Image Source: Instagram]

Pakua na Kuskiza mziki wa Yammi Tz Ndani Ya Mdundo

Uzuri si hadidhiwi nayaona

Haya hapa nayaona

Mabaya yako kwa macho yangu nayaona

 

Sio kwamba napenda kuwa kin’gan’ganizi tatizo mazoea

Nimekuzoea sidhani kama ntapona

Napiga simu namba inatumika kila dakika

Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka

Roho inajenga sumu hata nkifika mbinguni nime choka

Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake

Wallahy namchukia kumfahamu najutia

Wallahy namchukia kumfahamu najutia

 

Unayo fanya si unaona uko sawa basi kazana

Si unapenda hivi nnavyolia na kun’gan’gana

Haujuwi ustaarabu unachojuwa ni kufoka na kutukana

Na hivi nilivyo bubu mama kanifunza nidhamu ni kukaa kimya

 

Sio kwamba napenda kuwa kin’gan’ganizi tatizo mazoea

Nimekuzoea sidhani kama ntapona

Napiga simu namba inatumika kila dakika

Kumbe ameni block ame ni blacklist amenichoka

Roho inajenga sumu hata nkifika mbingu nime choka

Mungu aliumba mapenzi lakini yana watu wake

Wallahy namchukia kumfahamu najutia

Wallahy namchukia kumfahamu najutia

https://www.youtube.com/watch?v=W0RZZG63iB8

Leave your comment