Lyrics: Sio Kwa Ubaya- Mwana FA Ft Harmonize

[Image Source: Instagram]

Get Free Music Updates and Mixes on Telegram

Hela sio matako kwamba kila mtu anazo

Zilipo mwanangu usilete mchezo

Kuwaza hela hakuna kwenda likizo

Asa wenzangu na mimi ambao atukuzaliwa nazo

Eti hazileti furaha ukiwasiliza shauri yako

So swala la mjadara hii ndo iwe ramani yako

Eeh pambana ziwe zako pigana mwana mpka uchange jina lako

Tonatolea sadaka,sadaka tunazopata

Lana zinatuhepuka dua mbaya zinaturuka

Ata ufahamu kwa nini wananiita baba

Roho tisa kama za paka

Am my brother is kippa

The white call don kama poh castelano

Wanatangulia kufunga ila sipotezi mapambano

Husiende mbali kumbuka kuna kurudi mayai yote eka kumoja man karibu unabugi

 

Moyo wa champion sioni competition

Mitihani ya maisha ufauru kwa kwenda tuition

A.k.a ya ulimwengu

Ninaekutia fimbo za ugoko ka ukufuzwa na mamako shauri yako

 

Mi sina time ya kupoteza

Ngoma ya mtu siwezi cheza

So usiponiona husiulize

Jua tu niko busy

Nazichanga si kwa ubaya

 

Mi sina time ya kupoteza

Ngoma ya mtu siwezi cheza

So usiponiona husiulize

Jua tu niko busy

Nazichanga si kwa ubaya

 

Ukiwa na siku yakutafuta nayakupata ipo

Ridhiki hatoi baba ako kwamba itakufata ulipo

Nakutia moyo kukata tamaa mwiko

Sio lelemama ikibidi mnagombea fito

Penda hela husiziabudu husivukwe na utu

Roho yako sio ya chuma usiache iwe na kutu

Sheria msumeno lakin haichani dhiki

Mawe yameiva na mkaa bado umebaki

Pesa hainunui furaha ufukara unanunua nini

Mi nakimbiza hela mademu nimewaachia nyinyi

Izi sio habari ya mjini ni habari zangu mimi

Maisha hayana subtitle sio lazima uniamini

Pata hela maadui zako wanune

Softlife my nigga mpunga ndo nguvu zakiume

Au uendelee kulala ka utakula ulichokiota

Hasie aso na hasile ukija kitaa utatukuta

Moyo wa champion sioni competition

Mitihani ya maisha ufauru kwa kwenda tuition

A.k.a ya ulimwengu

Ninaekutia fimbo za ugoko ka ukufuzwa na mamako shauri yako

 

Mi sina time ya kupoteza

Ngoma ya mtu siwezi cheza

So usiponiona husiulize

Jua tu niko busy

Nazichanga si kwa ubaya

 

Mi sina time ya kupoteza

Ngoma ya mtu siwezi cheza

So usiponiona husiulize

Jua tu niko busy

Nazichanga si kwa ubaya

 

Kwanza naamka mapema kama naishi kigamboni

Dill isiyo na pesa kondeboy humuoni

Gari inafuka moshi ka nimepaki jikoni

Husipomuona mudi mnyama bunduki ipo kiunoni

I go for the money mura

Mi am go for the money money mura

I go for the money mura

Na sina time ya utani utani mura

https://www.youtube.com/watch?v=PP-RG1JaisY

Leave your comment

Top stories