Lyrics: Mwamba - Rayvanny

[Image Source: Instagram]

Get Free Music Updates and Mixes on Telegram

Namleta shemeji yenu mumuone

Namleta shemeji yenu mumuone

Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa

Namleta shemeji yenu mumuone

Namleta shemeji yenu mumuone

Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa

 

Mara akivaa ozi mwamba hana matatizo mwamba

Tajiri hana baya mwamba yaani amenyooka mwamba

Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo

Mungu kanipa yeye anayenifaa

Wambea najua inawachoma mukaroge Tanga Bagamoyo

Mungu Kapanga yeye hauwezi kukataa

Namkumbatia hamnifanyi chochote tena

namshika namchumu hamsemi chochote

Nambeba pia hamnifanyi chochote huyu wangu

Natamba simwogopi yeyote

Mama Amina Bele Amina Belebele

Mama Amina Bele Amina Belebele

 

Mwache apite mbele apite mbele mbele

Mwache apite mbele apite mbele mbele

Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu mumuone

Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa

 

Namleta shemeji yenu mumuone Namleta shemeji yenu

Mumuone mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa

Hana kipele mwamba sio baili

Mwamba tena hajarogwa mwamba tajiri amenoga

Nilizunguka kila kona kutafuta furaha ya moyo

Mungu kanipa yeye anayenifaa

Wambea najua inawachoma mukaroge Tanga Bagamoyo

Mungu Kapanga yeye hauwezi kukataa

 

Namkumbatia hamnifanyi chochote tena

Namshika namchumu hamsemi chochote

Nambeba pia hamnifanyi chochote huyu wangu

Natamba simwogopi yeyote

 

Mama Amina Bele Amina Belebele

Mama Amina Bele Amina Belebele

Mwache apite mbele apite mbele mbele

Mwache apite mbele apite mbele mbele

 

Namleta shemeji yenu mumuone

Namleta shemeji yenu mumuone mwamba huyu

Hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa

Namleta shemeji yenu mumuone

Namleta shemeji yenu mumuone

Mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa mwamba huyu hapa

https://www.youtube.com/watch?v=K-dVRmrQp0U

Leave your comment

Top stories