Yataniua Lyrics by Mbosso

Download FREE DJ Mixes on Mdundo.com

Aliyeumba mapenzi hakusema Yana maumivu

Aliyeumba mapenzi hakusema unaua wivu

Gharama mapenzi gharama

utachukia Ndugu marafiki ugomvi na mama

Gharama mapenzi gharama

Na ni donda sugu halitibiki ukishazama

Unamwamini

Na kumdhani Ndugu yako

Kumbe kijini

Ndio baby wa baby wako

Mapenzi yataniua bora nitafute pesa nianze jishaua

Mahaba yataniua bora nitafute pesa nianze jishaua

Nikizipata Me nitunge nitunge nitunge nitunge

Nitunge nitunge nitunge nitu..

Nitunge nitunge nitunge nitunge

Nitunge nitunge nitunge nitu ..

 

Nawatagoma zi Ili party

Nyama choma ji Aji

wasikie Mangoma Ji

Vya Arusha nitavichoma Ji Aji

Watagoma zi ili party

Nyama choma ji Aji

wasikie Mangoma Ji

Vya Arusha nitaviss…

Nipite na kila mtu Hadi we

Hadi we hadi we hadi wewe

Hadi we hadi we hadi we Hadi wewe

Eeh Ka kupenda (Ka kupenda)

Kampende babako( Aah babako)

Si unapenda kampende dadako (Aah dadako)

Ka kupenda (Aah kupenda)

Kampende babako (Aah Babako)

Si unapenda kampende kakako(Aah kakako)

Mapenzi yataniua bora nitafute pesa nianze jishaua

Mahaba yataniua bora nitafute pesa nianze jishaua

Nikizipata Me nitunge nitunge nitunge nitunge

Nitunge nitunge nitunge nitu..

Nitunge nitunge nitunge nitunge

Nitunge nitunge nitunge nitu ..

Background sound:Mbosso

Gharama mapenzi gharama

utachukia Ndugu marafiki ugomvi na mama

Gharama mapenzi gharama

Na ni donda sugu halitibiki uki…

Nipite na kila mtu Hadi we

Hadi we hadi we hadi wewe

Hadi we hadi we hadi we Hadi wewe

Leave your comment