Zagamua Lyrics by Baddest 47 Featuring Mabantu

Download FREE Mp3 Music by Baddest 47 on Mdundo.com

Nasikia unavyozagamua hivi
Nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua hivi
Nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unaruka matuta hivi
Nami umeskia natembea na mafuta (umeskia)

Kanywa bia za makuruta kachezeshwa
Mashuu kashikishwa ukuta (umeskia)
Hivi hujaskia kwamba nina mihela au
Umeskia umekausha imekukera (umeskia)

Ka unapiga piga kisela demu mwenyewe mbovu
Anabebwa na camera (umeskia)
Hivi hujaskia ka si mapopo hatuchaguagi
Sehemu ya kurukaga makopo (umeskia)

Ujana changamoto yani nalewa chini kunawaka moto (umeskia)
Nasikia unavyozagamua hivi
Nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua hivi
Nawe unasikia navyoizagamua 

kweli
Upo brother mchawi pesa tu (umeskia)
Bila kwikwi bila hata presha
Shemeji analika tatizo lako wenge (kumaanisha nini)
Upo nyonyo niko mbupu nilikosa uwezo ila chupuchupu
Eti chips ndogo kuku nusu malaya
Mnajua kukatika au meme wa luku

Usitie cchumvi kwenye sugar maana
Hakuna baridi piga stori vizuri na jirani (umeskia)
Mwaga pesa kama njugu man
Hakuna kibamia inategemea una pesa gani (umeskia)

Wadangaji eeeh mi ndo danga lenu,
Mkiweza nichune me ndo buzi lenu
Masela eeeh mi ndo mchizi wenu
Mwagilia moyo bwana siyo shida zenu

Nasikia unavyozagamua hivi
Nawe unasikia navyoizagamua
Nasikia unavyozagamua hivi
Nawe unasikia navyoizagamua

Leave your comment