Lyrics; Alikiba- Asali

[Picha: Instagram]

Bonyeza Hapa kusubscribe na Kupakua DJ Mixes Maalum

Kama kulia nitalia na yeye kucheka nitacheka na yeye

Kuimba nitaimba na yeye ni furaha

Kuteseka nitateswa na yeye Aaaah akisababisha yeye stress akinipa yeye ni sawa

Hata dunia iumbwe upya mimi nitakupenda mpaka mwisho

Hata uende mbali Oooh mbali asali yangu mi hodari hodari hodari

Hata uende mbali Oooh mbali asali asali yooh wangu hodari

Tarara tata raaa tarara talanta tarara ta raa tarara tataraa

You are my angel pretty pie raha tu unazonipa we umesababisha mi kichaa

Kama ni dawa niambie tu maana mi presha juu yako tu

Ni wewe tuuu ni wewe tuuu

Hata dunia aaah iumbwe upya mimi nitakupenda mpaka mwisho

Hata dunia aaah iumbwe upya mimi nitakupenda mpaka mwisho

Hata uende mbali Oooh mbali asali yangu mi hodari hodari hodari

Hata uende mbali Oooh mbali asali asali yooh wangu hodari

Tarara tata raaa tarara talanta tarara ta raa tarara tataraa

Tarara tata raaa tarara talanta tarara ta raa tarara tataraa

Amore mon cheri khabulah khabulah khabulah khabulah khabulah

Amore mon cheri khabulah khabulah khabulah khabulah

https://www.youtube.com/watch?v=2bwe9cXvTHs

Leave your comment