Lyrics: Barnaba Classic Ft. Diamond Platnumz - Hadithi

[Picha: Youtube]

Bonyeza Hapa kusubscribe na Kupakua DJ Mixes Maalum

[Barnaba Classic]

Oooh mtume roho yangu inashindwa kuvumilia,

Si kwa mahaba anayonipa, yazidi mpaka namwagikiwa

Ananipa vinono mpakanahisi changanyikiwa,

hongera wake somo mtoto kafundwa katimilia

Wali kwa maini, maji ya mdalasini,

Na nikirudi nyumbani ananiuliza nianze chakula ama mimii

Hapo ndo ananivurugaga, kichwa kinaniumagaaa, ndo maana nimewaitaga, mnipe ushauri

[Diamond]

Aaaaha

Hadithi Hadithi Tamu Kolea,

Mwenzenu mimii tamu kolea,

Mchumba wangu Tamu Kolea,

Aaah sisemii, Tamu Kolea

[Barnaba]

Aaaaha

 Hadithi Hadithi Tamu Kolea,

Mwenzenu mimii tamu kolea,

Mchumba wangu Tamu Kolea,

Basi sisemii

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Kwenye Telegram

[Diamond Platnumz]

Kanionesha jua la asubuhi, lavyopenya kwa dirisha na mizungu ambayo siijui amenifundisha, Shombo la maharani amenisafisha yaya, kama hoi sijitambui navyojibebisha

Aaaaaah oooh, Mmmh kanitunza mahaba tamu kutaraji taa (lebe lebee)

Kibababaa michezo ya makida kida (lebe lebe)

Tunawakera waja mbona mtapata shidaa, niwape siri labda puto limepata mwibaa

Aaaaha eee nilonge nsilonge (longaa)

Mwenzenu mimi (longaa)

My Baby wangu (longaaa) Mi namlove

[Barnaba]

Hadithi Hadithi Tamu Kolea,

 Mwenzenu mimii tamu kolea,

Mchumba wangu Tamu Kolea,

Basi sisemii, Tamu Kolea

[Diamond]

Aaaaha Hadithi Hadithi Tamu Kolea,

Mwenzenu mimii tamu kolea,

Mchumba wangu Tamu Kolea

Hapo Sisemi

 

Ati ona mtoto kataka nami sijivungi, nampa nampa tena nampa.

Nampa ale kusaza, nampa nampa tena nampa

Sibakizi hata tonee, nampa nampa tena nampa

Nampa kitu anapenda, nampa nampa tena nampa,

 

Nampa tamu tamuuu, nampa nampa tena nampa

Ale ajigaragaze, nampa nampa tena nampa

https://www.youtube.com/watch?v=-JaiCotheaU

Leave your comment