Free Download: Pakua Mixes 7 kali kutoka Tanzania za mziki wa Bongo, Singeli na Amapiano Tamu

[Picha: Instagram]

Mwandishi: Branice Nafula

Pakua Mixes Kali za Clouds Fm ndani ya Mdundo

Katika maandalizi ya shughuli nzima ya Dj Battle ndani ya tovuti ya mziki Mdundo.com hivi karibuni, tumekuandalia mixes kali ambazo unaweza kuzipakua bila malipo yoyote.

Wiki hii tunakupa fursa ya kuskiliza mziki wa Singeli, Bongo na hata Amapiano Tamu.

Zipakue hapa:

Pakua Nyimbo za Nandy Bila Malipo Kwenye Mdundo

Clouds Fm Mix 1: Nandy, Kusah, Brown Mauzo

Hii ni mix iliyoandaliwa kwa usatadi ikiwaleta pamoja wasanii tajika kutoka Afrika Mashariki wakiwemo, Nandy, Kusah, Brown Mauzo, Winnie Nwagi miongoni mwa wengine. Furahia uzuri uliko humu kwa kuipakua mix hii kali na tarajia kuiskia kwenye redia yako pendwa Clouds fm.

Singeli Hits:Meja Kunta, Msaga Sumu, mzee wa Bwax

Wakali wa Singeli wanakupa fursa ya kupakua mziki mzuri kama vile "Chura Super star" yake Meja Kunta, "Unatega Shemeji" miongoni mwa nyimbo zingine. Ipakue mix hii hapa!

Clouds Mix 2 : Marioo, Brown mauzo, Navykenzo

Ipakue mix hii kali kwenye tovuti ya Mdundo ya ngoma kali kutoka kwa wasani Marioo, Nadia Mukami, Navy Kenzo ft Diamond Platnumz na Brown Mauzo. Usikose kusikiza kazi hii nzuri ndani ya Clouds Fm.

Qaswida Safi

Huku tukielekea kuanza mwezi mtukufu wa Idi ndani ya mwezi mmoja ujao, kwa upande wetu tunakupa fursa ya kuskiza mziki mzuri wa Qaswida kwa shughuli hiyo nzima. Ipakua hapa mix hii kali bila malipo yoyote.

Singeli Mix

Pokea burudani murwa kutoka kwa wajuzi wa mziki wa singeli Meja Kunta, Balaa Mc na Marioo. Hii ni mixtape moja kali inayoonyesha ubabe wa mziki wa singeli. Usipitwe!

Amapiano Tamu

Wanamziki wa Tanzania wamedhibitisha uwezo wao kufanya mziki wa aina yoyote. Katika mixtape hii tunakupea mziki kutoka kwa wasanii Nandy ambaye amefanya mziki wa Amapiano kama wenzake. Kwingineko waliohusishwa kwenye mix hii ni Focalistic, Niniola,Lindough na Milo Deep. Pakua Amapiano Tamu ndani ya Mdundo.com.

Leave your comment