Nyimbo Mpya: Mac Voice Aachia Video Mpya 'Pombe' Akiwashirikisha Rayvanny na Leon Lee

[Picha: Citimuzik]

Mwandishi: Omondi

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Msanii chipukizi kutoka Tanzania Mac Voice ameachia video ya wimbo wake mpya 'Pombe' akiwashirikisha Rayvanny na Leon Lee.

'Pombe' ni moja ya nyimbo zilizoko kwenye EP yake mpya ya 'My Voice'.

https://www.youtube.com/watch?v=oKPpjvi9AcQ

Leave your comment