Nyimbo Mpya: Diamond Platnumz Aachia ‘Naanzaje’

[Picha: Naanzaje YouTube]

Mwandishi: Omondi Otieno

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Msanii mashuhuri kutoka Tanzania Diamond Platnumz ameachia wimbo mpya kwa jina 'Naanzaje'.

'Naanzaje' ni wimbo wa mapenzi na uneyarishwa na nguli wa muziki Ayo Lizer.

Wimbo huo inakisiwa kuwa majowapo ya ngoma kwenye albamu mpya ya Diamond inayotarajiwa hivi karibuni.

Soma Pia: Nyimbo Tano za Harmonize, Diamond na Rayvanny Zinazotamba Bongo Wiki Hii

Kwenye Instagram, Diamond alisema kuwa ngoma hio ni zawadi kwa wafuasi wake.

"Zawadi Maalum kwa ndugu zangu wa Bongo fleva," aliandika msani huyo.

Soma Pia: S2kizzy: Diamond Ana Zaidi ya Collabo Tatu na Wizkid

Wimbo huo umepokelewa vyema na una zaidi ya watazamaji laki mbili kwenye YouTube.

https://www.youtube.com/watch?v=DxQXlXDok34

Leave your comment