Pata DJ Mixes Kali Kutoka Mdundo Kupitia Mtandao wa Vodacom

Pata DJ Mixes kali kutoka kwa maDJ wakali  nchini Tanzania; kila siku kupitia Mdundo Mixes za mdundo.com. Hii ni kwa wateja wa Vodacom.

Pata mixes kutoka kwa DJ Summer, DJ AllyBi, DJ YLB, DJ Ferruh, DJ Bike na DJ Massu; kwa kuanzia Tsh 80 kila siku. Mixes mpya zinapatikana kila siku, zikijumuisha nyimbo mpya kwenye Bongo Flava, Naija, Gospel, Taarab, Reggae na HipHop.

Tembelea mdundo.com/djmixes kupata mix kutoka kwa DJ unayemkubali zaidi. Mix ni exclusive kwa watumiaji wa Mdundo.com na wateja wa Vodacom. 

Vigezo na masharti, kuzingatiwa. Kwa taarifa zaidi, tembelea mdundoforfans.com

Leave your comment