Nyimbo Mpya: Nyimbo 10 Bora Kutoka Bongo Zilizoachiwa Machi 2021 [Video]

[Picha: WCB Instagram]

Mwandishi: Branice Nafula

Pata Habari za Muziki na Mixtapes Bure Kwenye Telegram

Mwezi Machi umekua mwezi wenye matukio mengi haswa kufuatia kifo cha Rais John Magufuli.

Wanamuziki wengi walisitisha kuacha muziki uliopangwa na kutungwa kwa heshima ya Magufuli.

Soma Pia: Pakua Mixtapes Tano Kali za Hip Hop Kutoka Bongo kwenye Mdundo

Licha ya kuwa mwezi wa maombolezo, leo tunaangazia nyimbo kuma ziliachiwa mwezi huu.

Yalah - Mbosso

Hii ni video ya kwanza kutoka kwa Albamu ya 'Definition of love' ya Mbosso.

https://www.youtube.com/watch?v=ijm4CHvJdGw&ab_channel=Mbosso

Wale Wale – Lava lava

Katiko wimbo huu, LavaLava machungu yanokuja ukiwa kwenye mapenzi.

https://www.youtube.com/watch?v=gPrPHvmrC0U&ab_channel=LavaLava

For You - Marioo

Kwenye wimbo huu, Marioo anasifia uzuri wa kuwa kwenye mapenzi.

https://www.youtube.com/watch?v=0fsh2XkqWcw&ab_channel=MariooOfficial

Kama – Anjella Ft Harmonize

Huu ni wimbo wa kwanza Anjella alioachia badala ya kuzinduliwa rasmi na Konde Music Worldwide.

https://www.youtube.com/watch?v=z2LHODzQ1JA&ab_channel=Anjella

Madanga ya Mke wangu – Meja Kunta ft DVoice

Huu ni wimbo wa kuangazia mwanamme mmoja anayefanya madanga ya mke wake kua biashara ya kujiimarisha.

https://www.youtube.com/watch?v=NaPt97DwWzY&ab_channel=MejaKunta

Lala Salama - Tanzania All Stars

Huu ni wimbo wa sifa kwa hayati rais wa Tanzania John pombe Magufuli aliyeaga dunia hivi majuzi.

https://www.youtube.com/watch?v=gD-VdBqHscY&ab_channel=WasafiMedia

Asante Magufuli - Konde Music

Wasanii wa lebo ya Harmonize waliandaa wimbo wa kumshukuru marehemu Rais Magufuli kwa kupigania maslahi ya wanyonge nchini humo.

https://www.youtube.com/watch?v=CqEvlLonyB8&ab_channel=Harmonize

Kifo - Rayvanny

Katika wimbo huu Rayvanny anamlilia rais wake hayati Magufuli akisema ‘Kifo’ hakina huruma.

https://www.youtube.com/watch?v=McqT-XpgYhQ&ab_channel=Rayvanny

Umetuacha Imara – Peter Msechu

 Huu ulikua wimbo wa kuomboleza kifo cha Marehemu Rais Magufuli aliyeaga wiki mbili zilizopita.

https://www.youtube.com/watch?v=l6WIWBKVI6o&ab_channel=PeterMsechu

Bye Magufuli - Aslay

Aslay alijiunga na wasanii wenzake katika kumuomboleza aliyekuwa Rais wa Mungano wa Tanzania.

https://www.youtube.com/watch?v=IReENAMP8fQ&ab_channel=Aslay

Leave your comment