J. Amaizing na singeli

J. Amaizing anatarajia kuzindua nyimbo yake mpya ya singeli inayoitwa (nimefeli ) alotoa kwenye studio za OCB Bukoba mjini chini ya producer mkubwa (Sam master ). Nyimbo ni kali xana na itazinduliwa rasmi tareh 19 mwez wa 12 2020 kwenye after school bash .

Leave your comment