Singeli 5 Moto Zinazovuma Bongo Mwaka Huu

[Photo Credit:Notjustok]

By Branice Nafula

Follow Us on Google News

Muziki wa Singeli nchini Tanzania unaendelea kupata umaarufu na kupamabana na aina zingine za muzika kama Bongo Flava iliyo bobea na kukubalika Afrika nzima.

Singeli ni mziki wa kitambo lakini ukianaza kupata umaarafu mwaka huu ppale amabapo wanamuziki tajika waliaanza kuitilia maanani.

Download Meja Kunta Music for Free on Mdundo

Katika nakala hii tunaangalia nyimbo 5 bora za singeli mwaka huu:

Miss Buzza - Rayvanny na Dulla Makabilla

Wimbo ulichapishwa mwezi Machi na ukawa wimbo mkubwa zaidi. Kufikia sasa ni wimbo mkubwa kwenye fani ya singeli na ulio na watazamaji zaidi ya milioni sita kwenye mtandao wa YouTube.

https://www.youtube.com/watch?v=0PWCMHTJRn4&ab_channel=Rayvanny

Wanga - Meja Kunta na Lavalava

Wimbo huu ulikuwa wa kwanza wa Lavalava kwenye muziki wa Singeli ambao ulifanya vizuri sana. Kwenye YouTube wimbo huu umepata watazamaji zaidi ya milioni nne. Itakumbukwa kwamba wimbo huu ulipaata umaarufu sana hata nyota wa muziki kutoka Amerika Alicia Keys alifurahia wimbo huu wa ‘Wanga’.

https://www.youtube.com/watch?v=SV1ra6fchW0&ab_channel=LavaLava

Hujanikomoa - Harmonize

Kupitia wimbo huu, Harmonize alidhibitisha kuwa shabiki mkubwa wa mziki wa Singeli. Aliachia ‘Hujanikomoa’ mwezi wa Februari na hadi sasa ina watazamaji zaidi ya million mbili nukta tano.

https://www.youtube.com/watch?v=uW2Hfpa7V30&ab_channel=Harmonize

Huna Baya - Billnas na Meja Kunta

‘Huna Baya’ ni wimbo wa Singeli ambao unaangazia masaibu ya kijana mdogo katika kutafuta mafanikio katika muziki. Kwa sasa unawatazamaji zaidi ya elfu mia saba kwenye YouTube.

https://www.youtube.com/watch?v=yJj5_3x0qWM&ab_channel=Billnass

Nigekuwa Demu - Dulla Makabilla

Mfalme wa mziki wa Singeli Dula Makbila anaendelea kujikakamua katika kuachia mziki zaidi. Katika wimbo huu anaimba kile angefanya kama tu angekuwa mwanamke. Kwa sasa ina watazamaji zaidi ya nusu milioni.

https://www.youtube.com/watch?v=Jrm0TVDzMsQ&ab_channel=DullaMakabila

Leave your comment