“Bangi inafaida” Fid Q kaeleza faida zake

Source: Milard Ayo

Mjadala wa bangi uliibuliwa tena juzi na Mbunge wa Kahama Jumanne Kishimba Bungeni akitaka Tanzania iruhusu Wakulima walime bangi Nchi ijipatie mamilioni kama Uganda.

Baada ya hiyo, jana Mamlaka ya kudhibiti dawa za kulevya kupitia kwa Kaimu Kamishna wake James Kaji ikasema haiwezi kuruhusu uwekezaji wa bangi “tumepata proposal nyingi kama wanavyosema Wabunge, hatujawa tayari, kijamii haitoeleweka”

Sasa leo February 5, 2019 msanii wa Hip Hop Farid Kubanda ( Fid Q ) ameeleza sehemu ya faida zitokanazo na bangi, ambapo amesema Bangi inafaida nyingi kiafya na hata Kwenye kukuza uchumi.

Source: Milard Ayo

Subscribe to Top African Entertainment News

Leave your comment