Nally Album Launch

NALLY

@officialnallytz
#chugaprincess
YouTube: chuga princess
Mdundo: chugaprincess

@mastersatworktz
(Management: Master T- Taji Liundi)

@producerperfect
(Team Nally Producer Dar es salaam)

@passoul
(Team Nally Song Writer)

KIMUZIKI:
Nally amesharekodi nyimbo 7 sasa!
Kufikia Nov 20 atakuwa karekodi nyimbo 10!

Kwa sasa tunapromo nyimbo 4 na
Video 3.

NYIMBO:
1. *Nyang'anyang'a* ni mahadhi ya Mduara na ina video nzuri YouTube
Kamshirikisha Shilla Kismart
@shillahkismart

https://youtu.be/M5IsJ_zFalE

https://youtu.be/unm2CarJLUM

2. *Liar*
Ni wimbo wenye mdundo lakini wa kilio cha kutendwa.
Video ipo YouTube- Chuga Princess

https://youtu.be/IwfNQ8PfyzE

https://youtu.be/bUZRV-cHxlU

3. *Pampara* ni wimbo changamfu unaomsifia mpenzi.
Tumetengeneza wimbo wa bongoflava unaochanganya mapigo ya Saxophone yaliyopigwa na Moses Zamangwa mpigaji mashuhuri wa Dar es salaam:
@moses_zamangwa
*Video imekamilika* na itazinduliwa pamoja na nyimbo nyingine 4 Novemba 24 2019, Life Park Club, Mwenge, Dar es salaam!

https://youtu.be/hjRnHLEnJBY
(Lyrics Video)

4. *Njiwa*
Ni marudio ya wimbo wa gwiji Patricia Hillary.
Akiwa Dar, Nally anashirikiana naye kujinoa zaidi ili waurudie kwa pamoja!

5. *Tetere*
Nally ft Barnaba Classic!!!
@barnabaclassic
Wimbo mzuri unaothibitisha penzi la wawili!
*Unakamilishwa mixing*

6. *Huku*
Huu upo tayari. Kamshirikishi mwandishi wake wa nyimbo Paso @passoul
Wimbo huu umetengenezwa kumuweka Nally sambamba na wasanii wengine wanaotoa ngoma kali kisoko!
Huku ni wimbo chokozi!!
*Video inaandaliwa*

7. RAFIKI(We Can't be Friends)
Nally ft Nitho P (msanii wa Dodoma)
@officialnithop
Nally ameshirikiana na msanii Nitho P wa Dodoma katika wimbo ambao wote wanakataa kuachana na kuwa marafiki angali bado wanapendana!!

MIPANGO IJAYO:
- Kuna nyimbo 3 mpya zimeshaandaliwa.
- Nally anatarajia kushirikiana na msanii wa Kike Shellida(aliyekuwa THT)
- Nally anatarajia kushirikiana na msanii pendwa wa Bongo Hip Hop ambaye kavutiwa na talent yake!!
- Nally ataimba wimbo mmoja solo ambao utaendelea kumtambulisha kisanii!!

*ZAIDI*
Kupitia Management ya Masters@Work/3D Entertainment na Life Park Club Dar es salaam, Nally atakuwa mmoja wa waratibu wa Tamasha Jipya la Kukuza Vipaji litakaloitwa *"MegaStar Talent Show"*
Tamasha limepangwa kuzinduliwa Novemba 24 2019 ambapo atatambulisha nyimbo zake 10!!
*"Megastar Talent Show" itakuwa inafanyika kila Jumapili Life Park Club, Mwenge kuanzia saa 7-4usiku kwa kiingilio cha Tsh 3.000 tu!!*

Hii itakuwa HISTORIA kwa msanii wa KIKE kuzindua album na kutambulisha video 4 kwa mpigo!!!
Itakuwa historia pia kwa msanii wa Kike chipukizi kufanya onyesho Live mitandaoni!
Pia itakuwa onyesho la kipekee litakalochanganya mapigo ya Dj na ala za Bendi!!

MAELEZO ZAIDI:
+255752888799
nallyd2004gmail.com

Leave your comment