TANZANIA: Wasanii Watajika Tanzania Waomboleza Kifo cha Mbalamwezi

By Rodgers Omondi

Mwimbaji mashuhuri nchini Tanzania Mbalamwezi ameaga dunia.

Mbalamwezi ambaye alikuwa mwimbaji katika kundi la Mafik alifariki usiku wa kuamkia Ijumaa, Agosti 15, 2019.

Taarifa kamili kuhusu kilicholeta kifo cha mwimbaji huyo bado hazijatolewa.

Mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili  katiki mjini was Dar es Salaam.

Kufuatilia Kifo chake, wasanii watajika Tanzania, wameomboleza mwendazake kama msanii shupavu.

Hawa ni miongoni mwa wasanii walioomboleza Mbalamwezi:

Diamond Platnumz: MAY YOUR SOUL REST IN PARADISE...

Rayvanny: Rest in Peace My Brother!!! DY

Ben Pol: Rest Easy Young King

The Mafik: Rest in Peace

Mahair Khan: Rest In Peace my buddy @mbalamwezi_themafik nakumbuka busara zako bro, mtu mwenye kujua thamani ya utu, dah inauma kuondokewa na mtu unayetamani bado awepo angalau muendelee kufurahi pamoja, poleni sana

Download Mbalamwezi Music for FREE on Mdundo

Leave your comment

Other news