NYIMBO ISHIRINI KAMA ZAWADI

Kuanzia leo tarehe 13 mwezi natarajia kupandisha nyimbo mojamoja mpaka siku 20 zitimie
Hi Nicole kutaka kuwaonyesha wapenzi wa muziki wangu kua Nina packege ya kutosha na kuonyesha napenda waendelee kuskiliza mziki mzuri enjoy

Leave your comment