TANZANIA: Dully Sykes Afunguka Kukopiwa na Harmonize
5 March 2019
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo fleva Abdul Sykes maarufu kama Dully Sykes amefunguka na kuweka wazi kuwa amefurahi Baada ya Msanii Harmonize kukopi nyimbo yake.
Harmonize ametumia melody ya wimbo Dully Sykes wa muda mrefu unaofahamika kama ‘Handsome’ katika wimbo wake mpya alioutoa wa Kainama na kusema amefurahi kwa sababu ameona kama amemuenzi.
Kwenye mahojiano aliyofanya na Global Publishers, Dully alisema ...endelea kusoma Ghafla
Leave your comment