Vanessa na Jux Warudi kwa Kishindo, Sasa Hivi ni Zamu ya Burundi

Wasanii  na wapenzi wa siku nyingi Vanessa Mdee na Juma Jux wamerudi kwa kishindo na ile ziara yao ya 'In Love and Money' huku zamu hii ikiwa inatua nchini Burundi kwa kishindo.

Wasanii hao ambao walipumzika kidogo baada ya kufanya ziara hiyo  ya kuwafikia mashabiki wao kwa mikoa kadhaa nchini , wameamua kuanza tena ziara hiyo huku wakisema kuwa kwa sasa itakuwa ni zaidi ya awali.

Read More on Ghafla

Leave your comment