TANZANIA: Ommy Dimpoz Atoa Ujumbe Mzito Siku Yake Ya Kuzaliwa ‘Tusiishi Kwa Chuki na Uadui’

Alhamisi hii 13th September ni siku ya kuzaliwa ya mwanamuziki Ommy Dimpoz ambaye anafanya vizuri katika tasnia ya muziki nchini Tanzania.

Muimbaji huyo ambaye upo chini ya RockStar 40000, ameitumia siku yake hiyo kuandika ujumbe mzito kuhusu alichopitia kwenye maisha yake baada ya kupata matatizo katika mfuno wake wa kumeza chakula na kusababisha kufanyiwa upasuaji mkubwa nchini Afrika Kusini.

Read more here: http://bongo5.com/ommy-dimpoz-atoa-ujumbe-mzito-siku-yake-ya-kuzaliwa-tusiishi-kwa-chuki-na-uadui-09-2018/

Leave your comment