TANZANIA: Rich Mavoko Aanza Maisha Mpya Nje Ya WCB, Aachia Wimbo ‘Ndegele’ Chini Label Yake Billionea Kid

Msanii wa muziki Rich Mavoko ameanza upya maisha yake ya muziki nje ya WCB ambapo Ijumaa hii kupitia label ya Billionea kid ameachia wimbo wake wa kwanza uitwao ‘Ndegele’.

Muimbaji huyo ameingia kwenye mgogogoro mzito wa kimkataba na label ya WCB hali ambayo imesababisha kufikishana Baraza la Sanaa Taifa BASATA kwaajili ya kuangalia maslahi ya muimbaji huyo.

https://www.youtube.com/watch?v=ONkWhe4EfP0

Baraza hilo limedai kwa sasa linafanya mpango wa kuwakutanisha WCB pamoja na Rich Mavoko ili waangalie namna gani wanawekwa sawa na kumaliza tofauti zao.

Source: bongo5.com

Leave your comment

Other news