TANZANIA: Album Ya Fid Q “Kitaaolojia” Ipo Sokoni Tayari

Rapper Fid Q ametangaza rasmi kuwa Album yake ya ‘Kitaaolojia’ iliyokuwa ikisubiriwa kwa muda mrefu ipo sokoni tayari na watu wanaweza kuipakua kwa kusikiliza ngoma ambazo zipo ndani ya Album hiyo.

Kupitia ukurasa wa instagram wa Fid Q ametangaza kwa mashabiki wake kuhusiana na Album hiyo ingawa hajataja idadi ya ngoma ambazo zitapatikana katika album yake ya “KitaaOlojia”.

“#BreakingNews #KitaaOLOJIA ipo tayari kukufikia. Ingia hapa kwa maelezo zaidi ——> www.cheusidawa.tv”

Source: millardayo.com

Leave your comment