TANZANIA: Muda Wowote Kuanzia Sasa AY na Fid Q Wanaachia ‘Microphone’
9 July 2018

Muda wowote kuanzia sasa marapper wawili wenye nguvu zaidi kwenye kiwanda cha muziki wa Hip Hop nchini Tanzania, AY na Fid Q wanaachia project yao mpya ya Microphone.
AY amethibitisha hilo baada ya kuachia kionjo (Teaser) ya wimbo huo kupitia ukurasa wake wa Instagram, unaweza ukatazama kicho hicho hapa chini.
Mdundo wa ngoma hii umegongwa pale B-Hits na video imeongozwa na Destro kutoka Wanene Entertainment Films.
Source: bongo5.com




Leave your comment