TANZANIA: Chege Apata Mtoto

Msanii wa muziki Bongo, Chege amefanikiwa kupata mtoto na mpenzi wake. Msanii huyo anayehit na ngoma yake mpya ya ‘Kaitaba’ aliyomshirikisha Saida Karoli, ametuma ukurasa wa mtandao wa kijamii wa Instagram kutoa taarifa za kupata mtoto aitwaye Jadah.

Mwishoni mwezi wa pili msanii huyo aliweka wazi kuwa ana mpenzi na wanaishi wote ila kuhusu kuoa yeye atakuwa wa mwisho kuoa.

Source: bongo5.com

Leave your comment

Other news