TANZANIA: Listening Party ya Joel Lwaga Yafana

Mwanamuziki wa nyimbo za Injili anayetamba na kibao kiitwacho "Sitabaki Kama Nilivyo" Joel Lwaga siku ya tarehe 04 Novemba 2017 alifanya tafrija fupi iliyohusisha wadau mbalimbali wa muziki katika kusikiliza albamu inayotarajiwa kuzinduliwa rasmi siku ya tar 26 Novemba 2017 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar Es Salaam.

Katika tafrija hiyo wadau mbalimbali walikuwepo na kupata wasaa kuweza kusikiliza kile kilichoandaliwa kwa ajili ya siku hiyo.

Tazama picha katika matukio:

Leave your comment