Sayuni Choir Tz Yajichukulia Umaarufu Kwenye Christian Top 100 Songs Kwenye Mdundo Leo
2 March 2026
Sayuni choir tz imejitwalia umaarufu kupitia wimbo wake uitwao BWANA YESU AWAITA. Kadiri siku zina vyosogea mbele wimbo huu umekuwa ukipanda kuelekea nafasi ya juu zaidi kwenye CHRISTIAN TOP 100 SONGS inayopatikana kupitia tovuti https://mdundo.com/genres/270. juzi ulikuwa nafasi ya 35 Kutoka ripoti ya jana ambapo wimbo ulishika nafasi ya 32 leo wimbo huo umesogea hadi nafasi ya 27. Je, wimbo huo utaishia hapo? Au utaendelea kusogea mbele zaid? Kujua hayo tukutane kesho kwenye news kupitia ukurasa huu. Asante...




Leave your comment