TANZANIA: Christian Bella Kuingia Location Na J Martins

Msanii wa muziki Bongo, Christian Bella amesema muda wowote wataanza kushoot video ya ngoma ambayo ameshirikishwa na J Martins kutoka nchini Nigeria.

“Sisi huwa tunaenda kutafuta kolabo Nigeria lakini raundi hii kwa bahati nzuri nimeshirikishwa na J Martins, audio imetoka tunaenda kufanya video,” Bella alisema.

Source: bongo5.com

Leave your comment