KIBAO KIPYA KWA JINA ''UKABILA NI SUMU'' SASA KINAPATIKANA PAPA HAPA

UKABILA NI SUMU By Stephen Wandera. 1Yohana 4:7-14.

*Ndugu zangu wapendwa, jamani tupendane, Ndugu zangu wapendwa, jamani tupendanee, Tujiepusheee na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani , tena unauwa vibaya kuliko ebolaaa aaa aa aa, kuliko ebola aaa.

Ndugu zangu wapendwa, jamani tupendane, Tujiepusheee na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani , tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa.

Tukumbuka hapa Kenya mwaka elifu mbili na zaba, jinzi Watu, waliyvo uwana, chanzo chake kikiwa ni ukabila ,waking’ang’ania mamlaka, kwa hiyvo nakusihi mpendwa, tupendane Tujiepusheee na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani , tena unauwa vibaya kuliko ebolaaa aa aa, kuliko ebola aaa.

Ndugu zangu wapedwa, jamani tupendane, Tujiepusheee na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani , tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa.

*Hapa duniani Watu wengi wanauwana, waking’ang’aniaaa mamlaka, huku chanzo chake kikiwa niukabila, kwa hivyo nakusihii, mpendwa tupendane, Tujiepusheee, na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani , tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa.

Ndugu zangu wapedwa, jamani tupendanee, Tujiepusheee na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani , tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa.

Mungu ni upendo ooo wapendwa tupendane, Tujiepusheee na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani , tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa.

Makabila yote, jamani!, Tupendane , Tujiepusheee na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani, tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa.

Mungu ni upendo ooo wapendwa tupendane, Tujiepusheee na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani , tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa.

*Ukabila ni sumu, tujiepusheee nao tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa.

Mungu ni upendo ooo wapendwa tupendane, Tujiepusheee na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani , tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa.

Wakenya wote jamani tipendane Tujiepusheee na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani , tena unauwa vibaya kuliko ebolaaa.

Mungu ni upendo ooo wapendwa tupendane, Tujiepusheee na ukabila, ni ugonjwa hatari sana hapa duniani , tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa.
tena unauwa vibaya kuliko ebola aaa aa aa, kuliko ebola aaa.

Leave your comment