TANZANIA: Hizi ni Nyimbo 3 za Bongo Flava Ambazo Victoria Kimani Anazikubali

Victoria Kimani si mgeni katika midani za muziki wa Bongo Flava.

Amewahi kuwashirikisha Diamond na Ommy Dimpoz kwenye wimbo wake Prokoto. Lakini pia anafahamika kwa ukaribu wake na Vanessa Mdee. Na pia kwakuwa Tanzania na Kenya zipo karibu mno kimuziki, mrembo huyo husikiliza nyimbo kibao za Bongo Flava.

Hata hivyo, Victoria amezitaja nyimbo 3 anazozikubali zaidi kuwa ni:

AJE – ALIKBA

AY F/ DIAMOND – ZIGO REMIX

NAVY KENZO – KAMATIA

Source: bongo5.com

 

Leave your comment