Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Joh Makini na Davido Washoot Video ya Collabo Yao
4 April 2017

Hatimaye Joh Makini na Davido wamefanikiwa kushoot video ya collabo yao.
Video hiyo imefanyika jijini Johannesburg, Afrika Kusini. Kupitia Instagram ni Davido ndiye aliyetoa habari hizo njema kwa kuweka picha akiwa na Joh pamoja na warembo sita.
“Back to work !! On set shoot @johmakinitz ft Davido ….. TZ x NAIJA,” ameandika.
Wimbo huo una takriban mwaka na nusu tangu urekodiwe na ni video pekee iliyokuwa inasubiriwa ili uachiwe rasmi.
Source: bongo5.com
Weekly Top 10 songs

omelette4:28
Tudo Trocado3:17
Nasema3:02
ONLY YOU JESUS5:44
I AM3:12
CHAMPION GAL3:00
Ekinuma4:59
Akaana kokukyalo2:21
Joy Is Coming3:08
Mariana3:19
Top stories
- Mungu mkuu
16 July
- apology to all our fan's
18 July
- Stainer...music
18 July


Leave your comment