Exclusive DJ Mixes and 100% Ad-Free Music!
TANZANIA: Tanzania Mpya Yamtoa Chozi Darassa
24 March 2017

Rapper Darassa ameonekana kuumizwa kwa kile kinachoendelea hapa nchini kwa sasa.
Hitmaker huyo wa Muziki, ameandika ujumbe ambao umeonekana kuwaumiza na kuwatoa machozi wengi katika mtandao wa Instagram. Kupitia mtandao huo Darassa ameandika:
BABA MUNGU SHUKA WEWE UENDESHE NCHI YETU! BORA TUPOTEE SISI NI SAWA!!!! vip kuhusu watoto wadogo na wanawake!!!! Future ya nchi inaogopesha na huitaji macho kuona hili Get Mdundo android app
Weekly Top 10 songs
Top stories
- Biography
18 June
- MJINT1 BIOGRAPHY
18 June




Leave your comment