KENYA: Susumila na Timmy Tdat Wafunguka Sababu ya Kufanya Kazi Pamoja Kwenye ‘Nipende’

Muimbaji wa Kenya Susumila amefunguka sababu ya kufanya kazi pamoja na Timmy Tdat katika wimbo wao mpya ‘Nipende’.

Akiongea na Bongo5, Susumila amesema, “Napenda style ya Timmy Tdat ya muziki na napenda bidii yake katika muziki.”

Naye Timmy ambaye yupo chini ya lebo ya King Kaka Empire amemsifia Susumila baada ya kufanya naye kazi hiyo kwa kusema, “Working with an artiste such as Susumila was a great pleasure. I look forward to working with him again.

Tazama video ya wimbo huo hapa chini.

 
Source: bongo5.com

 

Leave your comment