NIGERIA: Tiwa Savage Athibitisha Kusainiwa na Roc Nation ya Jay Z

Tiwa Savage amethibitisha kuwa amesaini mkataba na Roc Nation ya Jay Z.

Akiongea na kituo cha runinga cha Notjustok TV, hitmaker huyo wa Bad amesaini mkataba na lebo hiyo ambayo itakuwa inasimamia kazi zake lakini bado yupo chini ya lebo yake ya zamani Mavin Records inayomilikiwa na Don Jazzy.

“ I am signed to Roc Nation under management contract and Mavin is still my family and label,” amesema Tiwa.

“What I love about when Jazzy and I met Jay Z was that he didn’t want me to change, he specifically said that was what attracted him and the company to us,” ameongeza.

Source: bongo5.com

Leave your comment