TANZANIA: Belle 9 amemtaja mzazi wake kuwa ni mtu anayemuinspire kwa mengi.

 

Belle 9 anadai kwa mwalimu muhimu katika maisha yake ni baba yake mzazi.Muimbaji huyo anayetokea Morogoro amemtaja mzazi wake huyo kuwa ni mtu anayemuinspire kwa mengi.


“Mfano hai ni kwamba mpaka leo hii hapa, baba yangu bado yupo na mama yangu ni kitu ambacho nakuwaga proud,” Belle ameonekana akisema kwenye teaser ya kipindi cha Ngaz Kwa Ngaz cha Salama Jabir
“Ninavyorudi nyumbani, baba yupo, mama yupo sababu nina rafiki zangu wengi ambao wako na mama zao peke yao wengine wako na baba zao peke yao, so kwangu mimi baba yangu ni mwalimu katika hilo,” ameongeza.

Unaweza kutazama mahojiano yake hapa chini:

Leave your comment