TANZANIA:Becka Tittle aongelea swala la madawa ya kulevya ya Mr. Blue

 

Msanii Becka Title kutoka katika kundi la B.O.B Micharazo amefunguka na kusema katika kundi lao hilo hakuna mtu ambaye anatumia dawa za kulevya. Beka amesema taarifa zilizopo mtaani kuwa baadhi ya wasanii kutoka kundi hilo wanauza na kutumia dawa za kulevya akiwemo Mra Blue ni uzushi usio na uhalisia wowote.
 

Unaweza kutazama mahojiano yake na Enewz hapa:


Leave your comment