TANZANIA: 2017 ni mwaka mzuri sana kwangu na nawaahidi makubwa - Nikki mbishi

 

 

Ingawa anaona hawapewi nafasi licha ya kuwa na kazi nzuri na zenye tija, rapa wa Bongo Nikki Mbishi amefunguka na kusema mwaka huu mpya wa 2017 ni mwaka mzuri kwake na muziki wake.

 Lakini pia mkongwe wa muziki wa Hip hop nchini Solo Thang alionesha kuwa amefurahia kukamilisha moja ya deni lake la kufanya kazi na Nikki Mbishi na kudai kuwa kwa sasa ana deni moja la kazi na Fid Q.

"Deni na Nikki Mbishi nimeshalimaliza, bado moja na ndugu yangu Fid Q twende kazi, nasuburi mwaliko" alisema Solo Thang 

Leave your comment