TANZANIA: Diamond na Zari wapata mtoto wa pili

 

Hayawi hayawi na sasa yamekuwa. Hatimaye Zari The Bosslady na Diamond wamefanikiwa kumpata prince wa familia aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu kubwa. Mtoto huyo amezaliwa saa 10 na 35 Alfajiri kwa saa za Afrika Mashariki, Jumanne, December 6.

Mtoto huyo amezaliwa kwenye hospitali ya NETCARE ya Pretoria nchini Afrika Kusini. Tayari Diamond na Zari wameonesha picha za mtoto huyo japo hawajaweka sura yake na bado hawajasema wamemwita jina gani.

 

“ thanking everyone for your prayers, we are all doing fabulously ok,” ameandika Zari.

Naye Diamond ameandika:

 

 

 

Tunawapongeza Diamond na Zari kwa kujaaliwa kupata mtoto wa kiume.

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

Leave your comment