TANZANIA: Fahamu vitu 9 alivyohitaji Chris kabla hajaperform Mombasa
13 October 2016

Wiki iliyopita msanii kutoka nchini Marekani, Christopher Maurice maarufu kama Chri Brown aliingia nchini Kenya na kutumbuiza katika mjji wa Mombasa.
Katika tamasha hilo lililofanyika siku ya jumamosi tarehe 8 mjini humo, Chris Brown aliperform jukwaa moja na Alikiba, Vanessa kutoka Tanzania pamoja na WizKid wa nchini Nigeria.
Kupitia mtandao wa nchini Kenya uitwao Mubashara.com umeonyesha vitu vilivyokuwemo katika mkataba wa Chris wa kuperform nchini Kenya, vitu hivi 8 vilijumuishwa katika mkataba wake ambavyo viliwashangaza wakenya wengi:
- Chris Brown would be paid a whopping Sh90 Million for performing at the Mombasa Golf club for 90 minutes. (Chris alilipwa shilingi billion 1.9 kwa ajili ya kuperform Mombasa) According to the contract, by September 30, Brown had been paid Sh55 Million ($550,000), which included Sh20 Million “travel buyout” and Sh35 Million ($350,000) down payment. The balance of Sh35 Million ($350,000) was to be settled upon his arrival in Mombasa on Saturday morning. (Kutokana na mkataba, tarehe 30 sesptemba alilipwa shilingi bilioni 1.18 ya kitanzania ambayo inajumuisha milioni 431 ya usafili pamoja na shilingi millioni 754 kama malipo ya awali. Kiasi kilichobakia ambayo ni shilingi millioni 754 alilipwa baada ya kuwasili Mombasa.
- First class sound and lights as well as backline (audio amplification equipment).. ( Taa pamoja na muziki daraja la 1 kwa ubora)
- Catering and hospitality services ( Ukarimu pamoja na menu yake ya chakula)
- Ample security (Ulinzi)
- Private local ground transportation for artiste and travel party for the entire duration he would be in the country. (Usafiri kwa ajili ya msanii pamoja na team yake nzima kwa kipindi chote watakachokuwa huko)
- Luxurious accommodation consisting of one presidential suite for the artiste, one junior suite for his management, and king singles for travel party, at an artiste approved 5-star hotel. ( Hoteli ya kifahari yenye kiwango cha nyota tano)
- The hotel he was to be booked had to be located as close as possible to the concert or rehearsal venue. ( Hoteli atakayofanyiwa booking inapaswa kuwa karibu na eneo atakalo fanyia mazoezi kwa ajili ya kuperform)
- All bookings and arrangements including media interviews were to be made in conjunction with and approval of the artiste’s tour manager. ( Interview zote zinapaswa kushirikiana na Artist Tour manager)
Chanzo: Mubashara.com
Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz




Leave your comment