NEW VIDEO (TZ): Young D, Shilole, Shaa Na Wengineo Wamekuja Na Hii Video Mpya ‘Piga Chata’ Maalum Kwa Uchaguzi Mkuu

Wakati ukiwa umebakia siku 10 tu, kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu wa Tanzania mastaa wa Bongo, Young D, Shilole na Shaa wamekuja na wimbo maalum kwa ajili ya kuhamasisha Watanzania kujitokeza kupiga kura.

Uchaguzi mkuu umepangwa kufanyika Oktoba 25.

Karibu uitazame hapa Video hiyo iliyongoozwa na director Hanscana.

WATCH

https://www.youtube.com/watch?v=0dYaHK-fDBY

 

RELATED 

 EXCLUSIVE (TANZANIA): Mchezaji Wa NBA Hasheem Thabeet, Ana Haya Ya Kusema Kuhusu Tuzo Za AFRIMMA!

Leave your comment