EXCLUSIVE (TANZANIA): Mchezaji Wa NBA Hasheem Thabeet, Ana Haya Ya Kusema Kuhusu Tuzo Za AFRIMMA!

Mchezaji wa NBA Hasheem Thabeet alikua mmoja wa Watanzania waliohudhuria tuzo za AFRIMMA, Dallas Marekani. Anasema kama Mtanzania aliguswa kwenda kuwasapoti wenzake, amefurahi sana kuona Watanzania wameweza kuiwakilisha nchi yao vizuri, ameseama muziki wa Tanzania unazidi kukua na anaamini mwakani watapata tuzo 10.

RELATED 

 EXCLUSIVE (TZ): Vanessa Mdee ana haya majibu kwenye sentensi tano kuhusu ujio wa mdundo wake mpya, ‪'‎Never Ever'

Leave your comment