TANZANIA: Willy Paul ashambuliwa na mashabiki baada ya kuonekana kumuiga Diamond

 

 

 

Mwanamuziki wa Gospel nchini Kenya, Willy Paul amejikuta katika wakati mgumu baada ya kushambuliwa na mashabiki katika mtandao wa kijamii kwa kile kinachidaiwa kuwa anaiga mavazi ya msanii Diamond Platnumz..

Hii imekuja mara baada ya kupost picha inayoonyesha maandalizi ya ujio wa video yake mpya ambapo ameonekana ameiga kila kitu ambacho amekivaa Diamond Platnum katika mahojiano yake na Clouds katika kipindi cha Jahazi siku chache zilizopita.

 

 

 

Msanii huyo alishambuliwa na mashabiki kwa kuonekana akimuiga Diamond katika mambo mengi. Hizi baadhi ya comments za mashabiki:

cafriainc: @willypaulmsafi your just a copycat of @diamondplatnumz who am a big fan of..

t.misiani: @willypaulmsafi Ku copy swagg za diamond bro …be Creative……acha kujiangusha

mcchris_made_it: u claim gospel yet you look upto diamondplutnumz,from jina to now copying a whole look! smh

shanteylucas: I almost thought this is @diamondplatnumz kumbe ni willy pozee opps my baad!

ibrahim_mwashighadi: Hii ndo kuharibu injili sasa….do u know the meaning of WASAFI Mr willy? Now u going wrong

lynnipascal: I guess you are copying @diamondplatnumz so much willy….be yourself young man and you will go far

carolkingori_jasmine: A pc of advice bro,don’t try to be someone else be ua self…you’re a gospel artist not a comedian… You should represent God but not trying to be like Diamond.

challe_defred: @willypaulmsafi you are one talented young man but u losing urself with this delusion of grandeur #stop coping everything diamond is doing… Criticism is good and when someone corrects u appreciate don’t get mad and arrogant.. Its high time u v a mentor

catherinemacharia: Step aside…. Look at that picture again… What does it say? #youlackoriginality get inspired but never copy paste like a campus kid. This is why our music industry is dead AF

shariffa_33: Please live him alone Diamond ni role model wake I don’t see any thing wrong with the way he dresses uko dope ma feelings pelekeni police station

ruthogutu: Woow looking good.Fanya is one of my favourite That dressing tho ,,,,–‘Diamond’

 

Pakua app ya Mdundo sasa: smarturl.it/mdundo_ig_play_tz

 

 

Leave your comment

Top stories