NEW RELEASE

Kwa wadau wangu my Fans wote Wa Gospel habari nzuri nikuwa nimeachia track Mpya Leo ukiwa ni zawadi kwenu NA dedication nawaombeni mnisapoti soon video itatoka track inaitwa BORA LAWAMA

Leave your comment